Saturday, January 12, 2019

PIKIPIKI YA MIGUU MITATU KUVUTA
JEMBE LA KULIMIA 
Pikipiki hii pamoja na kubeba mizigo inaweza
pia kutumiwa kwa ajili ya kilimo kwa kufungwa
jembe la kulima shamba
created and patented by Dr James isdory Hayhary
reg. no TZP/00/00036 at BRELA in Dar-es-salaam
TANZANIA